Wanaotaka kwenda kutazama fursa Comoro bas meli ipo inapakia sasa

Mkuu huyu Mleta mada ana tatizo walilonalo watanzania wengi wanaofanya biashara zao comoro huwa hawawi wawazi. kaongelea meli halafu nauli analeta ya Ndege
he he he he! kazi ipo! eti hataki kumtafunia mtu! Kwahiyo mtu aende bandarini meli ipo! Kuna meli ngapi pale? Watanzania jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehehe! Nimeshindwa kumuelewa mtoa mada ni mtu wa namna gani? Anasema "meli ipo bandarini" Du!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haata kuandika hajui. Kujieleza hajui, kujibu pia hajui
 
Hivi huwa hamna akili timamu kuleta nyuzi nusunusu, huko Comoro tunaenda bure, hebu tuambie nauli ni bei gani kwenda huko Comoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo taabu yako ww, kuamini watu wote JF tunaishi Dar, yaani nitoke Mwanza kwenda kuuliza nauri bandarin?
mafanikio hayakufat upo ulipo ..ww unasema mwanza to dar wakat watu wanatoka dar to comoro kuangalia tu fursa na kurud!? unapotoka mwanza kuja dar huji kuuliza meli tu pia unakuja kujifunza Namna ya kuexport mizigo ya comoro na kujua siasa zoote ..labda kama huitaj kufanya biashara ndo utabak kutaka kila kitu uletewe mwisho wa siku unakuta data ulizopewa ma uhalisia ni tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…