ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Shida yetu tuna ubinfsi uliopitiliza, hv unahc peke yako unaweza kutosheleza soko la uhitaji? Hebu tubadilike, tufikiri kwa kina, kwani tunazo bidhaa nyingi zikiwamo za mazao lakini shida ni masoko. Madalali wa biashara mbalimbali ni wanyonyaji wa wazalishaji sana kiasi kwamba wazalishaji wengi wadogo na wa kati wanafia njiani kibiashara na hata wengine kimwili. Tanzania investment centre, SIDO na TIRDO hebu tuumize vichwa kuwasaidia wazalishaji wetu wadogo na wa kati ili nao siku moja wawe wakubwa.Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.