Wanaotaka kwenda kutazama fursa Comoro bas meli ipo inapakia sasa

Wanaotaka kwenda kutazama fursa Comoro bas meli ipo inapakia sasa

Shida yetu tuna ubinfsi uliopitiliza, hv unahc peke yako unaweza kutosheleza soko la uhitaji? Hebu tubadilike, tufikiri kwa kina, kwani tunazo bidhaa nyingi zikiwamo za mazao lakini shida ni masoko. Madalali wa biashara mbalimbali ni wanyonyaji wa wazalishaji sana kiasi kwamba wazalishaji wengi wadogo na wa kati wanafia njiani kibiashara na hata wengine kimwili. Tanzania investment centre, SIDO na TIRDO hebu tuumize vichwa kuwasaidia wazalishaji wetu wadogo na wa kati ili nao siku moja wawe wakubwa.Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
 
zerish89 acha hoja za jaziba! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa uzi wako, lakini huwezi kutoa taarifa asubuhi au mchana ukitegemea mfanyabiashara aliyeko say Mwanza au Tanga au popote pale aje na mizigo yake apakie tayari kwa safari ya Comoro! Ndiyo maana wana JF wameuliza maswali mengi kama nauli, viza n.k. If you were or you are serious kwa kuwasaidia wana JF, taarifa hizi ungelitupa mapema at least one, two or seven days in advance. Najua unataka kuwasaidia wana Jf vinginevyo jaribu KUWA MPOLE KWA KILA COMMENT HUMU JF au siyo!?
na huu uzi ni MDA mrefu sana mtu anakuja now tang tar 1 Leo mpaka leo mbona wengne wanaoelewa now washapakia na meli imeshaondoka pia nilileta huu uzi kwa wote wanaotaka kujifunza biashara ya comoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndizo akili za baadhi ya watanzania wenzetu.Kajua yeye Jambo kaja humu wangu wangu kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla.Anaulizwa maswali eti twende Bandari.Ni akili DHAIFU mno hizo.
 
Hizo ndizo akili za baadhi ya watanzania wenzetu.Kajua yeye Jambo kaja humu wangu wangu kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla.Anaulizwa maswali eti twende Bandari.Ni akili za DHAIFU mno hizo.
ww ndo umekuja Wang Wang ukadhan ni udaku kama unataka kuelewa kupitia comment za watu bas fatilia tang mada ya kwanza ya huu uzi ...kujikuta mjuaji tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na huu uzi ni MDA mrefu sana mtu anakuja now tang tar 1 Leo mpaka leo mbona wengne wanaoelewa now washapakia na meli imeshaondoka pia nilileta huu uzi kwa wote wanaotaka kujifunza biashara ya comoro

Sent using Jamii Forums mobile app
Lete habari mapema zerish89 hiyo ndiyo HOJA. Suala la muda ni sehemu ya mada! EARLY data and info on time is one of successful business principles!
 
Lete habari mapema zerish89 hiyo ndiyo HOJA. Suala la muda ni sehemu ya mada! EARLY data and info on time is one of successful business principles!
ww hutaweza kuelewa sababu huu uzi wa meli una wiki mbili sasa ww umekuja now sasa nikusaidiaje !? ninachokushaur kama unahitaj kujua biashara comoro uliza maswal nitakujibu hapa ...swala la meli achana nalo hii post sio ya Leo watu wote waliopata data izi tang nimezitoa washazifanyia kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa zetu ni roho mbaya ..Huu uzi una page 4 tu mpaka sasa.Haijalishi uliuleta kipindi gani ndivyo tulivyo waafrica kama wewe na wengi wetu.Mnaleta mizaha kwenye mambo ya maana na roho mbaya juu tele.Ni UDHAIFU huo wa akili endelea kujitetea.Watu wengi wameuliza wakijua watapata majibu mazuri eti ufuatwe Inbox ni upuuzi huo wa hali ya juu.
 
Binafsi Mtoa mada nishamuelewa, kwa kua nimemfuatilia tangu Uzi wa kwanza Kabisa, unaohusu fursa za biashara ndani Ya comoro,

Kama unavyojua binadamu hayupo mkamilifu, Ukiamini Hilo mtoa mada huwezi kumtukana, ni kweli Mtoa mada Ana mapungufu katika uwasilishaji wake wa huu Uzi,, kwa asiyejua kua huu Uzi Ni mwendelezo wa uzi uliopita ambao upo katika jukwaa hili hili la biashara,, Ili kurahisisha Mtoa Uzi alitakiwa auweke Uzi huu katika Uzi ambao wa mwanzo kuutoa Ili huwe Kama Update..!!!
 
thanks sana [emoji120] ubarikiwe
 
mafanikio hayakufat upo ulipo ..ww unasema mwanza to dar wakat watu wanatoka dar to comoro kuangalia tu fursa na kurud!? unapotoka mwanza kuja dar huji kuuliza meli tu pia unakuja kujifunza Namna ya kuexport mizigo ya comoro na kujua siasa zoote ..labda kama huitaj kufanya biashara ndo utabak kutaka kila kitu uletewe mwisho wa siku unakuta data ulizopewa ma uhalisia ni tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app

Mleta mada nimekuelewa sana,watanzania ni wavivu wa kufikiri sana wanataka uwaambie ni meli gani na wakati gani inaondoka ili watu wakakamatwe ili hali wanajua hizo ni mishe za watu mjini
 
Mleta mada nimekuelewa sana,watanzania ni wavivu wa kufikiri sana wanataka uwaambie ni meli gani na wakati gani inaondoka ili watu wakakamatwe ili hali wanajua hizo ni mishe za watu mjini
shukran sana mkuu
 
Umesema kweli, jamaa ana makosa kafanya na wale waliokuwa hawajamfatilia vema pia wakakurupuka.

Mleta mada umeshindwa kueleza kuwa ulitaka mizigo ndio ipite bandarini lakin mhusika anapita kwenye ndege.

Lengo lako lilikuwa ueleze kuna meli inapakia kwaio anaetaka kujua utaratibu wakupakia akufate au atafute nafasi kufika kwa agent na utoe anuani.

Pili ungeweka bayana kuwa baada yakupakia, mtu huyo atafute Visa apande ndege atakutana na mzigo mbele ya safari. Wengi umewachanganya maana wanajua huo mzigo anasafiri nao kwa meli alafu wakati huohuo walipouliza ukataja nauli ya ndege.

Nakushauri. Fanya muendeleze wa Thread zako, ama ukifungua mpya, anza n link juu ukiomba ambao hawajakusoma wafanye rejea

Alafu jitahidi kufafanua hatua kwa hatua. Kwa mfano kuna meli sasa inapakia mizigo bandarini kwenda comoro, wanaohtaji, wafanye abc
Binafsi Mtoa mada nishamuelewa, kwa kua nimemfuatilia tangu Uzi wa kwanza Kabisa, unaohusu fursa za biashara ndani Ya comoro,

Kama unavyojua binadamu hayupo mkamilifu, Ukiamini Hilo mtoa mada huwezi kumtukana, ni kweli Mtoa mada Ana mapungufu katika uwasilishaji wake wa huu Uzi,, kwa asiyejua kua huu Uzi Ni mwendelezo wa uzi uliopita ambao upo katika jukwaa hili hili la biashara,, Ili kurahisisha Mtoa Uzi alitakiwa auweke Uzi huu katika Uzi ambao wa mwanzo kuutoa Ili huwe Kama Update..!!!
 
hakuna mtu alieuliza kistarabu nikaacha kumjibu na wengne wananifata mpaka private ...alieuliza Visa kajibiwa Visa..tatizo linakuja unataka uelewe kwenye comment ya mtu ..kama ni ivyo bas soma comment zote tang uzi wa kwanza utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae huyo anajaza uzi kijinga tu kwa upumb*vu wake tuendelee kujadili yanayojiri na kupeana mrejesho
 
Back
Top Bottom