Huu ni ukosefu wa adabu
Kuna wapuuzi wenzanke huko Insta wanaofanana akili nadhani ndio walengwa wa hii post, mwenye makosa ni huyu mkata viuno aliyetoa bandiko Insta na kulileta hapa kwa watu wenye akili huyo ndio punguani. .Diamond JF anaijuwa na ndio maana ujinga ujinga wake anajuwa ni wapi pakuuandika.
Hivi DOMONDI ndio nani?Ameandika hivi kwenye page yake ya facebook 25mins ago
Najua wote tungependa tufurahie kwa pamoja siku yangu hii ya kuzaliwa, lakini kwa bahati mbaya hakuna ukumbi utaoweza kututosheleza... sasa tafadhali naomba niambie, unahisi ni kwanini nikupatie wewe kadi hii ili uwe muwakilishi wa Mashabiki zangu??? (nataka nitoe kadi kwa watu 5)......
.
Ndio maana kikaragosi chake HOD hakionekaniki humu baada kuona jf maji ya shingo kwa propaganda zao.
Mfyuuuuu
Maskin akipata ------ hulia mbwata
Hivi DOMONDI ndio nani?
Mi sijawahi hata kucelebrate yangu halafu yake iwe fursa??
Habari yako.... ubarikiwe
Kitakua kimezamia ulaya mana kilivyo na nyodo kingekuja kupost utumbo wke hpa
Mjumbe wa UKawa
Habari yako bibie , nilijua jana umeenda na maji.