Wanaotaka kwenda kwenye Birhday yaa Diamond fursa hii

Wanaotaka kwenda kwenye Birhday yaa Diamond fursa hii

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672
Ameandika hivi kwenye page yake ya facebook 25mins ago
Najua wote tungependa tufurahie kwa pamoja siku yangu hii ya kuzaliwa, lakini kwa bahati mbaya hakuna ukumbi utaoweza kututosheleza... sasa tafadhali naomba niambie, unahisi ni kwanini nikupatie wewe kadi hii ili uwe muwakilishi wa Mashabiki zangu??? (nataka nitoe kadi kwa watu 5)......
.
1604493_808888585799624_7783642848495910489_n.jpg
 
Huu ni ukosefu wa adabu

Kuna wapuuzi wenzanke huko Insta wanaofanana akili nadhani ndio walengwa wa hii post, mwenye makosa ni huyu mkata viuno aliyetoa bandiko Insta na kulileta hapa kwa watu wenye akili huyo ndio punguani. .Diamond JF anaijuwa na ndio maana ujinga ujinga wake anajuwa ni wapi pakuuandika.
 
Ndio maana kikaragosi chake HOD hakionekaniki humu baada kuona jf maji ya shingo kwa propaganda zao.
 
Ameandika hivi kwenye page yake ya facebook 25mins ago
Najua wote tungependa tufurahie kwa pamoja siku yangu hii ya kuzaliwa, lakini kwa bahati mbaya hakuna ukumbi utaoweza kututosheleza... sasa tafadhali naomba niambie,
unahisi ni kwanini nikupatie wewe kadi hii ili uwe muwakilishi wa Mashabiki zangu??? (nataka nitoe kadi kwa watu 5)......
.
1604493_808888585799624_7783642848495910489_n.jpg
Hivi DOMONDI ndio nani?
 
Duh maisha yako kasi sana leo hii bethidei ya mtu fulani inakua bonge la fursa,yaani kwenda kwenye bethidei ya Diamond kuna raia wana haha uko Insta?
 
Kitakua kimezamia ulaya mana kilivyo na nyodo kingekuja kupost utumbo wke hpa

Huku kinaogopa siku hizi maana huku hamna mtu wa kumsifia bosi wake kijingakijinga,si unajua kashazoea mambo ya instagram hata akijinyea bosi wake watu wanafurahia huo uharisho wake.
 
Back
Top Bottom