Wanaotaka kwenda kwenye Birhday yaa Diamond fursa hii

Huku kinaogopa siku hizi maana huku hamna mtu wa kumsifia bosi wake kijingakijinga,si unajua kashazoea mambo ya instagram hata akijinyea bosi wake watu wanafurahia huo uharisho wake.

Katakuja 2 labda mwez mchanga ila katakua kamejifunza kitu kua upambe mwisho instagram hku wa2 wanajielewa
 
Teh Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeeeeh, jf noma sana
 
Hii birthday mbona mbwembwe zimeanza mapema sana, ma bodyguard..mara nini mmh let us wait and see
 
Hahahahaha naapa nitaingia majukwaa mengine yote lakini si la siasa.. Asee kule ni presha tupu, watu wanajifanya wana uchungu sana na nchi kumbe hamna lolote..

Bora nimepita hapa nimecheka hata... Aaaahh Dimond katoa mwaliko ahaha le bilionea
 
Birthday zimekua harusi aiseee yetu machoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…