Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kinaogopa siku hizi maana huku hamna mtu wa kumsifia bosi wake kijingakijinga,si unajua kashazoea mambo ya instagram hata akijinyea bosi wake watu wanafurahia huo uharisho wake.
Nipo ndugu...., kwenda na maji haiwezekani si unaniona nimerudi tena
Mzima wewe..
Ur one in a million...
Yako lini viol
Katakuja 2 labda mwez mchanga ila katakua kamejifunza kitu kua upambe mwisho instagram hku wa2 wanajielewa
Mimi mzima kabisa ,tupo tunaserebuka jukwaani kwetu.
Bado sana 11th january
Si mbali sana kikubwa kuomba uzima tu..
Yeah am back siku niliiona ndefu hii bila Jf... ngoja tuendelee na miserebuko
Poa poa karibu tuserebuke wote.
mmmh!mimi mwenyewe mgeni ngoja tusubiriHiyo kadi imeandikwa 20pm ,20 pm ni saa ngapi?
Yeah am back siku niliiona ndefu hii bila Jf... ngoja tuendelee na miserebuko
Hii birthday mbona mbwembwe zimeanza mapema sana, ma bodyguard..mara nini mmh let us wait and see
Mbona anaandika ujinga ujinga huyo dogo,kwenye hiyo bday kuna nini cha maana ambacho hakijawahi kufanyika? Awape hizo kadi marafiki zake wa tandale.
Mfyuuuuu
Maskin akipata ------ hulia mbwata