Mwehu huyu hana tofauti na punguani mwenzake.
Hivi nani anapendwa na kila mtu hapa Tz
Hatumaanishi tunamchukia Diamond ila alichooandika ni kama dharau kwa watu/mashabiki wake,na ndio maana tukauliza kuna kitu gani cha maana kitakachofanyika huko kwenye bday ambacho hakijawahi kufanywa? Hizo kadi 5 ni bora awape washikaji zake wa tandale walio-hustle nae kwenye kuokota makopo na kuuza mitumba,kama anataka kwa mashabiki aandae show tutaenda.