Wanaotaka kwenda kwenye Birhday yaa Diamond fursa hii

Hivi nani anapendwa na kila mtu hapa Tz

Hatumaanishi tunamchukia Diamond ila alichooandika ni kama dharau kwa watu/mashabiki wake,na ndio maana tukauliza kuna kitu gani cha maana kitakachofanyika huko kwenye bday ambacho hakijawahi kufanywa? Hizo kadi 5 ni bora awape washikaji zake wa tandale walio-hustle nae kwenye kuokota makopo na kuuza mitumba,kama anataka kwa mashabiki aandae show tutaenda.
 
Ok, nimekupata mkuu
 
Hivo ukienda kwenye harusi huwa unakwenda kufanya nini na kuangalia nini ambacho hakijawahi tokea??? Thats just sherehe bana wacha kuponda kila kitu bana
 
Back
Top Bottom