Wanaotaka Urais TFF, Uchaguzi Agosti 16,2025 Jijini Tanga

Hivi huyu si aliambiwa alishindwa kujaza fomu😅😅😅😅
Sikuhizi namwona pale TANESCO kama afisa uhusiano...Sasa mtu alieshindwa kujaza fomu inakuaje anaajiriwa kama mtumishi wa umma au zilikuwa figisu
 
Sikuhizi namwona pale TANESCO kama afisa uhusiano...Sasa mtu alieshindwa kujaza fomu inakuaje anaajiriwa kama mtumishi wa umma au zilikuwa figisu
Labda kajaziwa
 
Sikuhizi namwona pale TANESCO kama afisa uhusiano...Sasa mtu alieshindwa kujaza fomu inakuaje anaajiriwa kama mtumishi wa umma au zilikuwa figisu
Ali mayai si ni kaimu mkurugenzi wa maendeleo ya michezo pale wizara ya michezo?? Ni lini ameenda TANESCO??
 
Sifa za kuwa rais wa TFF ni zipi?nataka kushiriki
 
Kwani Karia si amekaa kipindi cha oili hiki? Katiba inamruhusu kuendelea? Au katiba ya TFF inasemaje kuhusu muda wa Urais wa TFF?
Hii nchi ishakuwa ya kichawa nadhani umeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…