K kivogo Member Joined May 12, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Dec 27, 2013 #1 wadau naomba mnijuze,ni lini tutatangaziwa shule wanazoenda watoto wetu wanaotarajia kuanza sekondari?mtoto wangu amepata b masomo yote,na ana avarege b,je hiyo itamuwezesha kupata shule nzuri?
wadau naomba mnijuze,ni lini tutatangaziwa shule wanazoenda watoto wetu wanaotarajia kuanza sekondari?mtoto wangu amepata b masomo yote,na ana avarege b,je hiyo itamuwezesha kupata shule nzuri?