wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza.

wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza.

kivogo

Member
Joined
May 12, 2013
Posts
12
Reaction score
1
wadau naomba mnijuze,ni lini tutatangaziwa shule wanazoenda watoto wetu wanaotarajia kuanza sekondari?mtoto wangu amepata b masomo yote,na ana avarege b,je hiyo itamuwezesha kupata shule nzuri?
 
Back
Top Bottom