G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Niseme wazi kabisa wabaotetea huu mkataba wa kipuuzi kati ya Tanzania bara na DP World kuwa wamilikishwe bandari zote za Tanzania bara kwa mkataba usiokuwa na ukomo wanasumbuliwa na udini. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kuungana na huu upuuzi zaidi tu ya udini wao. Wana ajenda yao!
Mtanzania mwenye akili timamu unaanzaje kuunga mkono ushenzi huu. Kwamba eti mtu aje achukue bandari zote halafu utegemee jipya kutoka kwenye uwekezaji wa aina hiyo.
Hivi mmewahi kujiuliza huyo mtu ataendeleza bandari ipi aache ipi? Vipi ni vipaumbele vyake? Tanzania yenyewe itakuwa imefungwa minyororo kwamba haitaruhusiwa kuingilia kitu chochote kile kinachoitwa bandari ndani ya Tanzania bara! Siyo upuuzi huu? Hutaruhusiwa kuendeleza kitu chochote kile kinachoitwa bandari. Usalama wa nchi uko wapi?
Mwisho niwaulize huko serikalini, hivi huwa kuna muda mwingine mnajitoa akili kiasi hicho mpaka kuja na upuuzi wa aina hii?