grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
watu hubadilika na mathematics na physics hazina impact kubwa hasa kwenye masomo ya afya labda ingekuwa kozi za uhandisi hapo sawa .Wanaotoka diploma kwenda degree muhas wengi form 4 hawakupata matokeo mazuri mathe ,na physic
Leo niliamua kupitia waliokuwa selected muhas pale 2022/2023 nimekuta wengi waliotoka diploma kwenda degree matokeo yao ya form 4 wana had 3 wengine wana 2 ambazo mathe na physoce wamefeli vibaya mno kuna wengine wana D kabisaa
Hii kitu inanipa mashaka juu ya selection za Muhas wanaangalia nini zaidi au hua wanabase na GPA TU