Wanaotoka nje ya ndoa kwa fedha hawafumaniwi....!

kweli mtambuzi unakuwa mtu mzima ndo umeyatambua haya kwenye ndoa yako miaka hii au uliyatambua hata kabla.
 
Haya wenyewake zao waanze kuangalia nyendo za wake zao. Wasidhani akichiti upendo unapungua. Na isijekuwa analeta hela nyumbani, we unadhani saloon yake inachanganya kumbe anamegwa.
 
but ratio inaonesha kuwa wanaume ni wengi sana kuliko wanawake b'cos wanawake wanauvumilivu sana
 
nani alisema mwanamke anayetembea nje ya ndoa kwa kufuata fedha huwa hafumaniwi' kwa taarifa yako huwa ni rahisi sana kuliko hata wale wafanyao ufisadi kwa matakwa yao binafsi ambayo ni kinyume na Biblia. Mojawapo huwa ni wakati wa kutaka mahitaji/matumizi yao, hubadilika kmpaka wanatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…