Wanaotoka sare kizembe na timu mbovu kama Biashara United Hawawezi michuano ya Kimataifa , Subirini Aibu

"Shida tuliyonayo mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu...". Alisikika kiongozi mmoja wa zamani wa FAT, mbunge mstaafu wa Tabora na mwanachama maarufu wa makolo.
"Yaani kule ukimuondoa Mzee Manara na J. K, wanaobaki hawajielewi" Alisikika jamaa mmoja hivi.
 
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .

Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.

Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
Yanga amepoteza mechi ngapi katika ligi msimu huu?
Yanga amefungwa magoli mangapi na ameshinda magoli mangapi?

Haya tumia maswali hayo nenda kaangalie timu yako sasa

Wewe jamaa kwenye soka ni mweupe kabisa kama mataga na uvccm tu
 
Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Mwekee video ya ile mechi, hakuna timu ya Tanzania ambayo imewahi kucheza mpira mkubwa ugenini kama Yanga walivyo cheza ile mechi. Nadhani hawakuwa tu na bahati,
 
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .

Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.

Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
walipeni penseni wazee wenu kwanza
 
Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Na rekodi ya kupigwa nje ndani round ya kwanza chalii ndo tunayo yanga
 
kama yanga inabutuabutua basi hii ligi hakuna timu yoyote inayoucheza mpira
 
Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Sasa uto watafungwaje goli 10 kama wanacheza mechi 2 tu na kutolewa?
 
Back
Top Bottom