allesandro 2021
Senior Member
- Feb 10, 2021
- 142
- 156
Umeongea point sana hamna timu hapo.
"Yaani kule ukimuondoa Mzee Manara na J. K, wanaobaki hawajielewi" Alisikika jamaa mmoja hivi.
Nchi huru hii Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake,as long as havunji sheriaDah!...subiri kutupiwa mawe na wana uto...
Its Pancho ukikaidi utapigwa2 Chukwu emeka zipompa
Ila wana msimbazi watakupongeza kwa kuwa mkweli.
Championship Ghazwat Scars
Yanga amepoteza mechi ngapi katika ligi msimu huu?Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .
Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.
Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
Mwekee video ya ile mechi, hakuna timu ya Tanzania ambayo imewahi kucheza mpira mkubwa ugenini kama Yanga walivyo cheza ile mechi. Nadhani hawakuwa tu na bahati,Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Walipigwa dar 2 lagos kama ya kanumbaDada ni yule katoa huduma kwa rivers united dar na nigeria.
walipeni penseni wazee wenu kwanzaNaomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .
Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.
Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .
haijafungwa na Rivers united au biashara united,au ihefu?Timu mbovu hadi leo haijafungwa?na bado mechi nne ligi imalizike,aisee wewe utakua na file mirembe si bure
Na rekodi ya kupigwa nje ndani round ya kwanza chalii ndo tunayo yangaWakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Nyie kushinda ubingwa mpaka mpigwe mashineso wamenunua mechi zote???
sasa kama yanga walinunua ili washinde ww mbona hukushinda zakooo!!ukabaki unakatakata mauno tuuu!!
kama tumemnunua karia next ni moSema ubingwa mmeupata baada ya kuinunua Tff na karia
Sasa uto watafungwaje goli 10 kama wanacheza mechi 2 tu na kutolewa?Wakati Yanga inaupiga mwingi kimataifa mbaka waarabu wababe kabisa katika soka Ahly wanaomba mpira uishe nadhani ulikua bado kigoli.
Mwaka unao fuatia Simba alipigwa goli kumi katika mechi mbili ikiwemo na waarabu wa Ahly na Vita club sijui ulikua wapi?
Yanga ya kimataifa haijawai kufikia record ya Simba ya kufungwa goli 10 katika mechi mbili. Iyo record Kwa Tanzania inashikiliwa na Simba tu.
Mods wana kazi nyingi acha kuwachoshaModerator naomba uje ufute huu Uzi Wa huyu kidampa
Sawa DadaMods wana kazi nyingi acha kuwachosha
Ajabu sana, mpaka wakipangwa na Gor Mahia na Rayon bado wanakamata nafasi za mwisho.Yanga ipi ya kimataifa unayoizungumzia wewe?
ww ulipigwa na nani?maana kumbe ndo tabia zako!!Nyie kushinda ubingwa mpaka mpigwe mashine