Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sawa mamaSawa Dada
Muda huu unaohangaika mtandaoni ungekuwa umetulia unampikia mume wako,ingekuwa poa kwa mustakabali wa ndoa yako Dada mzuriSawa mama
Ushampikia bwanako nawewe? Hivi utopolo bila matusi hamuwezi kujibu hoja? Nikufahamishe tu nakojoa nikiwa nimesimama kama unatafuta mme nenda love connectMuda huu unaohangaika mtandaoni ungekuwa umetulia unampikia mume wako,ingekuwa poa kwa mustakabali wa ndoa yako Dada mzuri
Ahaa samahani coz niliona Siku moja unatafuta mume wa kukuoaUshampikia bwanako nawewe? Hivi utopolo bila matusi hamuwezi kujibu hoja? Nikufahamishe tu nakojoa nikiwa nimesimama kama unatafuta mme nenda love connect
Ni ajabu kwa mtu ambaye hakuwepo ila amesimuliwa tu. Hicho kipindi Manji alikua na misukosuko na uongozi wa nchi na timu ikawa haina hela ya kuwalipa wachezaji. Hata kusafiri tu ilikua tabu, mechi ya ugenini dhidi ya usm alger wachezaji walibembelezwa angalau wafike uwanjani tu kukamilisha ratiba.Ajabu sana, mpaka wakipangwa na Gor Mahia na Rayon bado wanakamata nafasi za mwisho.
Mjifunze kujitegemeaNi ajabu kwa mtu ambaye hakuwepo ila amesimuliwa tu. Hicho kipindi Manji alikua na misukosuko na uongozi wa nchi na timu ikawa haina hela ya kuwalipa wachezaji. Hata kusafiri tu ilikua tabu, mechi ya ugenini dhidi ya usm alger wachezaji walibembelezwa angalau wafike uwanjani tu kukamilisha ratiba.
Hicho ndio kipindi yanga alicheza na mbeya city pale sokoine huku benchi kukiwa na wachezaji wawili tu bila kipa wa akiba na Tambwe alijitolea tu kukaa benchi huku akiwa majeruhi.
Yanga ilikua kwenye kipindi kigumu sana. Kama uko kishabiki sawa ila kama unataka facts basi amini ile timu ilijitahidi sana hata kupata hizo point 4
Timu gani inayojitegemea?Mjifunze kujitegemea
Timu gani inayojitegemea?Mjifunze kujitegemea
nyie mnajitegemea>?????????Mjifunze kujitegemea
Kama Simba hamwezi Mtibwa na anafika robo fainali kwani Yanga isifanye vizuri kwa kudraw na biashara, tena Yanga akiwa kapumzisha wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza?, Simba angekuwa ni mzuri angechukua kombe la ligi.Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana .
Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC , lakini kwa timu mbovu kama hii kushiriki michuano ya kimataifa Tusubiri Aibu ya Kutukuka , ni timu ambayo wala hata haijulikani inacheza mfumo gani , si 4/4/2 wala 5/3/2 , ni mwendo wa piga mbele tu Bahatisha Ndulute , namsikitikia sana Mayele kuwemo kwenye timu hii mbovu , kijana wa watu anahangaika kufunga magoli lakini beki za kiutopolo zinafungwa kizembe sana.
Angalia game ya Biashara United , Timu duni kama hii ikikutana na Waarabu inaweza kupigwa idadi ya rekodi ya dunia , huyo anayeitwa NABI uzuri wake mimi bado sijauona .