The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kabla hata ya mkuu wa Majeshi kuongea lolote hapa JF hizo story za Viongozi ambao wanaotuhumiwa kuwa raia wa nchi Jirani zilikuwa zimesambaa Sana.
Binafsi siamini kama kweli Jeshi limechunguza saana. Zaidi ya kuja hapa JF na Ku connect dots.
JF imekuwa source ya habari nyingi.
Sasa nafikiri wakati umefika Viongozi wanaotuhumiwa watoe maelezo au serikali itoe maelezo ya kujitosheleza kuliko kukaa kimyaa.
Kimya hiki kinaleta sintofaham nyingi.