Pre GE2025 Wanaotuhumiwa kuwa sio raia. Serikali itoe tamko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kinana ana asili ya Kisomali na alikuwa Jeshini na kama angekuwa ni "hatari" angejiunga na wale "hatari" wenzake na kuipindua Serikali yetu ya kiraia siku nyingi.

Acheni kututisha sisi Wananchi,hata Bibi Ushungi ukimfuatilia utakuta Babu zake walipelekwa Visiwani kutokea Ngazija au Manyema.
 
Mmelipa uhamiaji hadhi ya jeshi so kila ni MONUSCO
 
Tamko gani tena Mkuu?
Kamanda CDF alisema mbele ya Kamanda CIC,ni suala la utekelezaji tu,vitu vingine sio Public ijue in details.
 
Kazi ya kujua huyu si raia ni ya jeshi la uhamiaji na si JWTZ.wao kazi yao ni kulinda mipaka ya nchi zidi ya nchi tokozi.
Huyu ni Mkuu wa Majeshi...Unaelewa maana yake? Inapokuja kwenye usalama wa nchi Kuna amiri jeshi Mkuu mmoja na Mkuu wa Majeshi mmoja...Elewa tangu leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…