Wanaotumia hizi simu waseme ukweli

Wanaotumia hizi simu waseme ukweli

beka the boy

Senior Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
167
Reaction score
97
Husika na mada tajwa hapo juu, eti ni kweli iphone 6 ni ji Tecno lililochangamka 🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20191110-071848.jpeg
 
Ngoja waje kusema ukwel mimi natumia tecno yangu hapa Sina mpango WA kubadili ad ninunue Gari yangu ya kwanza
 
Back
Top Bottom