Wanaotumia miguu miwili ni bora kuliko wanautumia mguu mmoja?

Wanaotumia miguu miwili ni bora kuliko wanautumia mguu mmoja?

Lakini naona manufaa zaidi kwa wanaotumia miguu ya kushoto, ni wepesi sana mfano odegard, saka, messi, azizi ki, roben, xhaka na wengineo.

Binafsi hata kwenye ps huwa napenda sana kuwatumia wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto zaidi.

Ivi arteta kwanini alimuachia Granit xhaka?
Hapo Arteta ndio nilimuona bwege.
 
Naomba kufahamishwa kuna wachezaji wao wanachezea miguu yote,akitaka kutoa pass au kupiga mpira siyo tabu,je hiyo miguu yote huwa ina uwezo sawa na nguvu?

Je kuna wachezaji bora zaidi wanaotumia mguu mmoja kuwazidi miguu miwili kiuwezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe natumia mguu mmoja ila wa miguu miwili wanasubiri saaana.Mpakaaa wa seeeeme🤓
 
Fundi mtakatifu CAZORLA anapokea mali ma mguu wa kulia, anapiga chenga na wa kushoto, yaani miguu yake yote ilikuwa ya kucheza mpira. Jamii yake ni kina hleb, chizi ousmane dembele, arshavin kidogo, etc.

Kuna wachezaji wao ni mgii mmoja tu, yaani mmoja ni wa kichezea mpira, mwingine wa kupandia kitandani 😂🥚
 
Back
Top Bottom