Je wanaotumia miguu yote ina maana miguu yote ina nguvu sawa?mwanadamu yeyote anayetumia kitu cha kushoto huwa ni bora kuliko wa kulia kwa asilimia kubwa.
mguu wa kushoto ukiona una nguvu kuliko wa kulia, umeula, lazima uwe vizuri. ni asset kwa lugha nyengine.
Hapo Arteta ndio nilimuona bwege.Lakini naona manufaa zaidi kwa wanaotumia miguu ya kushoto, ni wepesi sana mfano odegard, saka, messi, azizi ki, roben, xhaka na wengineo.
Binafsi hata kwenye ps huwa napenda sana kuwatumia wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto zaidi.
Ivi arteta kwanini alimuachia Granit xhaka?
Xhaka kule kwa alonso anaupiga mwingi sana. Asingemuacha inawezekana angekuwa top of premier leagueHapo Arteta ndio nilimuona bwege.
hahahaha
Mimi mwenyewe natumia mguu mmoja ila wa miguu miwili wanasubiri saaana.Mpakaaa wa seeeeme🤓Naomba kufahamishwa kuna wachezaji wao wanachezea miguu yote,akitaka kutoa pass au kupiga mpira siyo tabu,je hiyo miguu yote huwa ina uwezo sawa na nguvu?
Je kuna wachezaji bora zaidi wanaotumia mguu mmoja kuwazidi miguu miwili kiuwezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
.hakika aliyewaita utopolo alitafakari mbali sanaMessi anamzidi Ronaldo ufupi
Mtoe Ronaldo hapo muweke luis miquisonSanti carzola, leandro trossard, cr7 nk.
tangu lini Ronaldo akapiga corner?Mtoe Ronaldo hapo muweke luis miquison
Ronaldo ni right footer hawezi kupiga kona na mguu wa kushoto
sikujua huu uzi upo kwenye jukwaa la michezo!