Wanaotumia simu za iPhone 15% simu zao zimepasuka vioo

Wanaotumia simu za iPhone 15% simu zao zimepasuka vioo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
iphone.png
 
Je sababu au chanzo ni nini???Au ndio fasheni ya iPhone!!!
 
Kuna jamaa yangu iphone yake imepasuka afu alikua anai-unblock kwa funguo. mpaka aibonyeee pale katikati
 
Aise wamejuaje...kweli bhana yangu imekula mzinga juzi tu kichwa kinauma.

Yani ingekuwa imelia mzinga sehemu nzur walahi tena nisingebadilisha kioo kbisa
Pole yako dada...na hizo simu zilivyo za gharama daah
 
Na 90% wenye simu zilizopasuka vioo ni wanawake/wadada.
 
Back
Top Bottom