Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Imeibainika kuwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani wanaowachakulia fedha za mfuko wa TASAF wahusika wa makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Vipofu, wazee nk. ambao hawawezi kufuata wenyewe fedha za mfuko huo, wamekuwa wakiibiwa kwa kupewa fedha Pungufu au kutopewa kabisa fedha zao.
Baadhi ya wazee wamedai kuwa kuna wakati kinapita kipindi kirefu bila kupata fedha hizo au kupata fedha Pungufu kutoka kwa watu wanaowaamini ambao huwachukukulia fedha hizo wakipewa sababu tofauti tofauti.