Mtanzania kwenye fedha ni kiumbe mwingine. Utamaduni wa kupenda shortcut huku tukiwa wavivu na wazembe umetufanya tuwe viumbe wezi na laghai kila sehemu.Tumemkalia kooni mwenyekiti wa kijiji alichukua kadi ya benki ya jamaa mmoja mwenye ulemavu mnufaika wa Tasaf miaka miwili nyuma , anakula neema tu .
Na sisi hatuelewi tubaishi naye mpaka alipe hela zote na hapo bado kuwapoza wabakijiji maana uchaguzi umefika .
Inaumiza sana lakini no wayMtanzania kwenye fedha ni kiumbe mwingine. Utamaduni wa kupenda shortcut huku tukiwa wavivu na wazembe umetufanya tuwe viumbe wezi na laghai kila sehemu.
There is a way dear, kila mtu ajaribu kudai mabadiliko ya uongozi. Uongozi mbovu ndiyo umetufikisha hapa.Inaumiza sana lakini no way
Tanzania ni nchi yangu ndiyo tushazaliwa humu humu
Huwa wanapewa kiasi gani?Tumemkalia kooni mwenyekiti wa kijiji alichukua kadi ya benki ya jamaa mmoja mwenye ulemavu mnufaika wa Tasaf miaka miwili nyuma , anakula neema tu .
Na sisi hatuelewi tubaishi naye mpaka alipe hela zote na hapo bado kuwapoza wabakijiji maana uchaguzi umefika .