Wanaoua Asili ya Mwafrika ni wasomi na wafia dini za kuja wa kiafrika!!

Wanaoua Asili ya Mwafrika ni wasomi na wafia dini za kuja wa kiafrika!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,

Wasomi na wafia dini za kuja wa kiafrika ni watu wanaotumia nafasi zao kuharibu ASILI YA MWAFRIKA kwa kukumbatia na kuamini kilichoandikwa kwenye biblia na quruan pasipo kutafakari na kupembua kama vilivyoandikwa ndani ni kweli uongo ktk vitabu walivyoletewa na kulisha ujinga uliomo Waafria wengine wakiamini kuwa waliosoma wako sahihi kwa kila jambo.

Ujinga wao unapaswa kupuuzwa sasa na kutafuta ukweli kwa kutumia elimu yao kupata majibu siyo kupiga makofi kwa kila jambo lililotwabele yao.

Unakuta msomi anayeabudu ujinga wa kiislam na kikristo wanabishana juu ya uislam na ikristo hadi kuuwana kwa vitu vya kulishwa wakati wanadai wameelimika.

Msomi na mfia dini wa kiafrika wanaamini nadharia kibao zinazokinzana na UASILIA wa Mwafrika mfano:- wanaamini yote kuwa mtu anatoka na adam, nyani, mimba, shahawa na manii na udongo pia ukizingatia ni msomi na ana Phd zake.
 
Ukweli mwingi mkuu.tutafunguka kweli maana walishamatumaliza mno.ufaham wa mtu mweusi umechafuliwa sana na dini na elimu ya mtu mweupe
 
Tulifeli kutokuwrka kwenye maandishi mila na tamaduni zetu
 
Tuliletewa elimu ili tuelimike ila sisi tumeharamika!, Dini nazichukia maana hizo ni mbaya mbovu watu wamekuwa kama ma zwazwa!
Mkoa wa Pwani ugawanywe

Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam.

Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa.

Mikoa miwili ya Tanzania bara yaani Morogoro na Tabora iwe mikoa ya Viwanda vikubwa/vizito zaidi na technologia ya majeshi yetu na taasisi nyingine kama za matibabu.

Hapa naamanisha Viwanda vizito vyote visiendelee kujengwa Mkoa wa Pwani tena bali vielikezwe Morogoro na Tabora na Viwanda vyepesi viendelee kujengwa Mkuranga kama eneo la rasmi la Viwanda, huku Bagamoyo, Kibaha na Kisarawe yawe makaazi tu lakini serikali ipime maeneo hayo yote ili kuepuka ujenzi holela wa makaazi, hii inalenga upanuzi wa Jiji la Dar Es Salaam.

Serikali ichore ramani mpya ya Dar Es Salaam ikiunganisha Halmashauri hizo katika miundombinu ya Barabara za kisasa, Reli, umeme, Maji, pia serikali itenge eneo kubwa zaidi kule Kisarawe kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mwingine wa ndege, yawezekana miaka 50 mpaka 70 ijayo kutoka leo uwanja wa ndege wa Mwalimu Julias Nyerere utazidiwa kutokana na maendeleo makubwa na upanuzi wa miundombinu ya usafiri wa Anga.

Viwanda vyote ambavyo vimejengwa tayari Mkoa wa Pwani vibakie hivyo hivyo na/au vinaweza kuhamishwa hasa vile vizito na kuelekezwa Morogoro na Tabora.

Morogoro iwe sehemu ya kilimo cha kimkakati na Viwanda vikubwa/vizito ikiwemo na taasisi za utafiti wa kisayansi za majeshi yetu na technologi nyingine zielekezwe Morogoro na Tabora.

Na, Nicolas J Clinton Gabone
 
Tulifeli kutokuwrka kwenye maandishi mila na tamaduni zetu
Hata sasa bado tunaweza bali tumejiendekeza kwa kukubali ufadhiri wa wazungu kwaajili ya kufanya utafiti kwa maslahi yao badala ya maslahi yetu Waafrika.

Leo hii Mwafrika ukiomba ufadhili kwaajili ya utafiti juu ya ukweli wa ASILI YAKO wazungu na waarabu hawakupi bali ukiomba ufadhiri kwaajili ya kujenga misikiti,kanisa,nk unapata maramoja ,huu ndiyo ujinga wetu Waafrika.

Inatubidi Waafrika tujitafakari na kuanza kufadhili utafiti juu ya ASILI NA MILA ZETU siyo ujinga ujinga tu wa kuishi na kuamini ktk uislam na ukrito kuwa utatupeleka mbinguni wakati haohao wazungu na warabu tangu mwanzo mababu na mabibi zao wanazikwa ardhini hatujaona wakipaa mbinguni
 
Kutana na member mfia dini ya kiislam aitwaye Uzalendo wa Kitanzania mnyukane kihoja tuone mpagani na muislam wakikutana ligi yao inakuaje
 
Back
Top Bottom