Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti yanayoleta majuto.
Msione watu wanakamatwa wanabaka wajukuu zao mkadhani wote wanapenda, kuua damu zao, kuua wazazi, n.k.
Watu huziita pesa za masharti lakini hii haipo sawa, Masharti huwa tayari yanakubaliwa na mtu anayajua,
Utachoambiwa na mganga siku ya kwanza ni treila la usaliti na uongo wa shetan, kuamini utachoambiwa kwamba sharti litakuwa ni kutoa kafara ya mbuzi ni sawa na kusaini mkataba wa kuuziwa kiwanja kwenye fukwe ya bahari
Siku yoyote shetani akijisikia kupitia majini uliyopewa yatakwambia yanataka damu ya mtoto wako, ndugu yako, n.k. hakuna "lakini sikupewa masharti hayo"
Ukishaua utaambiwa umbake bibi yako, hakuna "lakini sikupewa masharti hayo"