Nimemsikia Kitima na viongozi wengi wa Dini na hata wanasiasa wengine wa uoinzani na hata WanaCCM wenzangu, wanawafanya watu waone wanatenda dhambi sana kushiriki Uchaguzi ambao straight forward kuna madosari kibao.
Kailima anajua fika mikono yake itakuwa na harufu ya damu mwaka huu. So bad HAKI YA MUNGU!
Kailima anajua fika mikono yake itakuwa na harufu ya damu mwaka huu. So bad HAKI YA MUNGU!