Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #21
Sana mkuu ila nimingia dilemma mana nimepigiwa simu hotel flani niende kupiga kozi kwa muda fulani hiv kule zanzibar. Sijui kama nitabakia huku katika wiki hiz mbili naweza kusepaNipo hapa kuchukua madini ila nahisi ukipata minada ya usukumani itakuwa poa sana maana mangosha wanapenda sana hizi yebo.
Vip gharama za yale magari mkuu?
Mtaji wa 1m unaweza anza hii mishe?
Maswali mazuri. kinywanyuku nae mdau wa maswali hayo. Mtaji milion unatoshq kabisaNipo hapa kuchukua madini ila nahisi ukipata minada ya usukumani itakuwa poa sana maana mangosha wanapenda sana hizi yebo.
Vip gharama za yale magari mkuu?
Mtaji wa 1m unaweza anza hii mishe?
Bar man itakuwa nzur kwangu mana kuna reception, kuna FNB, kitchen.Kozi ya utalii au mapishi?
If yes niunge mkuu
Mkuu kama kuna nafasi nipenyezee Pm .Bar man itakuwa nzur kwangu mana kuna reception, kuna FNB, kitchen.
Sidhani mkuu ila mm nilipitia njia ndefu unataka golden tulip?Mkuu kama kuna nafasi nipenyezee Pm .
Whatever manSidhani mkuu ila mm nilipitia njia ndefu unataka golden tulip?
Nicheki inbox tuongee. Ila unajua training ni miez 3 na hainaga malipo ya maana. Ni vihela vya sabuni tu. Kwengine hawatoi kabisaWhatever man
Mbey na iringa wapi kuna biashara zaidi?mtumba kwa soko la mnada mbeya unalipa
Kalaga Baho NongwaWakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.
Karibuni kwa mjadala
mbeya kwa mtazamo wangu na uzoefu,Mbey na iringa wapi kuna biashara zaidi?
Hamna noma mkuuNitakutafuta mkuu tuongee
Niko kusini huku maeneo ya Kilwa... Kahama inaonekanaje kibiashara hizi za kumwaga chinikaka ushaanza hii biashara njoo kahama tupige kazi