Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #21
Sana mkuu ila nimingia dilemma mana nimepigiwa simu hotel flani niende kupiga kozi kwa muda fulani hiv kule zanzibar. Sijui kama nitabakia huku katika wiki hiz mbili naweza kusepaNipo hapa kuchukua madini ila nahisi ukipata minada ya usukumani itakuwa poa sana maana mangosha wanapenda sana hizi yebo.
Vip gharama za yale magari mkuu?
Mtaji wa 1m unaweza anza hii mishe?
Mana hoteli la nyota tano huyo Lamomy Hana jeuri hata ya kununua kashata pale
Cc. Joannah