Upo sahihi achana nao hawatokuelewa😀😀Mfanyabiashara ndogo ndogo. Ili aitwe entrepreneur (mjasiliamali) inabidi ajitofautishe na wauza mihogo wengine kwa kuongeza thamani ya mihogo yake. Utofauti ndio utakaomfanya aitwe mjasiliamali
Mjomba sio kila unachogoogle ni sahihi ata vichaa uwa Wana publish vitu vyao online,soma vitabu sana kuliko google, mjasiriamali ni mtu anayekuja na wazo jipya sokoni kupitia bidhaa au huduma Kwa kuleta kitu kipya kabisa ambacho hakikuwepo au kuboresha( creativity and innovation) mleta mada yupo sahihi wabongo wengi wanachanganya mfanyabiashara na mjasiriamali,wengi ni wafanyabiashara ila wanajiita wajasiriamali,japo mjasiriamali anaweza pia kuwa mfanyabiashara ,wanaouza maduka wengi ni wafanyabiashara na sio wajasiriamali nadhani umenipataHwbu tuoneshe neno kubuni kwa mujibu wa maana hii ya ujasiriamali kwa kingereza. Inaonekana mmesoma kukariri kujibia mtihani na kuelewa. View attachment 2741489
Hebi tuletee maana hiyo ni kutoka kamusi ipi? Ndiyo maana nikasema mna kisomo cha kukaririMjomba sio kila unachogoogle ni sahihi ata vichaa uwa Wana publish vitu vyao online,soma vitabu sana kuliko google, mjasiriamali ni mtu anayekuja na wazo jipya sokoni kupitia bidhaa au huduma Kwa kuleta kitu kipya kabisa ambacho hakikuwepo au kuboresha( creativity and innovation) mleta mada yupo sahihi wabongo wengi wanachanganya mfanyabiashara na mjasiriamali,wengi ni wafanyabiashara ila wanajiita wajasiriamali,japo mjasiriamali anaweza pia kuwa mfanyabiashara ,wanaouza maduka wengi ni wafanyabiashara na sio wajasiriamali nadhani umenipata
Usikariri kwamba biashara ni uchuuzi tu. Hata Mwamposa, Lissu? Mbowe na wengine wengi ni wajasiriamali.Sifa kuu ya ujasiriamali ni value creation. Kama huja create value kwenye unachofanya huo ni uchuuzi tu.
Acha kupotosha. Wavumbuzi ni watu wengine. Mvumbuzi anaweza asiwe mjasiriamali.Mjomba sio kila unachogoogle ni sahihi ata vichaa uwa Wana publish vitu vyao online,soma vitabu sana kuliko google, mjasiriamali ni mtu anayekuja na wazo jipya sokoni kupitia bidhaa au huduma Kwa kuleta kitu kipya kabisa ambacho hakikuwepo au kuboresha( creativity and innovation) mleta mada yupo sahihi wabongo wengi wanachanganya mfanyabiashara na mjasiriamali,wengi ni wafanyabiashara ila wanajiita wajasiriamali,japo mjasiriamali anaweza pia kuwa mfanyabiashara ,wanaouza maduka wengi ni wafanyabiashara na sio wajasiriamali nadhani umenipata
Kwahio unalazimisha kuukataa ukweli auUsikariri kwamba biashara ni uchuuzi tu. Hata Mwamposa, Lissu? Mbowe na wengine wengi ni wajasiriamali.
Kwani neno moja si linaweza kua na maana zaidi ya mojaTafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.
Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita mjasiriamali.
Tanzania, nchi yangu [emoji28]
Unanibishia mimi? Unajua mimi ni nani?Kwahio unalazimisha kuukataa ukweli au
Wewe chawa mmoja hiviUnanibishia mimi? Unajua mimi ni nani?
Hilo limekushangaza sana?Vipi kuhusu cherehani mbili kuitwa kiwanda cha mavazi/nguo?Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.
Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita mjasiriamali.
Tanzania, nchi yangu 😅
Wauza mihogo wanaingiza pesa kuliko hata waajiriwa