Mjomba sio kila unachogoogle ni sahihi ata vichaa uwa Wana publish vitu vyao online,soma vitabu sana kuliko google, mjasiriamali ni mtu anayekuja na wazo jipya sokoni kupitia bidhaa au huduma Kwa kuleta kitu kipya kabisa ambacho hakikuwepo au kuboresha( creativity and innovation) mleta mada yupo sahihi wabongo wengi wanachanganya mfanyabiashara na mjasiriamali,wengi ni wafanyabiashara ila wanajiita wajasiriamali,japo mjasiriamali anaweza pia kuwa mfanyabiashara ,wanaouza maduka wengi ni wafanyabiashara na sio wajasiriamali nadhani umenipata