Wanaovaa makoti na kupiga picha na marefa na makapteni kwenye mechi za Ligi Kuu (VPL) ni akina nani?

Swali jingine; kwanini mara nyingi wanavaa mikoti oversize, magauni ya ajabu ajabu, na suruali pana mithili ya wanamuziki wa Empire Bakuba, Zaiko Langalanga au Lipua Lipua?
Nahisi hayo makoti yanakuwa uwanjani haijalishi linakutosha au vipi.

Kwa mfano ukienda kupiga picha ya passport size au uhamiaji kwenye sehemu ya fingerprint unavalishwa koti OVERSIZE
 
Nahisi hayo makoti yanakuwa uwanjani haijalishi linakutosha au vipi.

Kwa mfano ukienda kupiga picha ya passport size au uhamiaji kwenye sehemu ya fingerprint unavalishwa koti OVERSIZE
Duuuh!! hizi nchi zetu hizi. Hapo suala la afya ya wavaaji linazingatiwa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…