Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Makomandoo Wa MpiraHawa jamaa wanazingua sana.
Wewe umewaza hilo jana mimi kila siku nilikuwa nawaza jambo hilo.Huwezi amini nilitaka nianzishe huu uzi,Jana Kuna jamaa nikawa namwambia hawa watu wanahusika na Nini?
Mbona Ulaya huwa hatuwaoni
Hahaaa kuna mdau hapa kaniambia ni WENYEVITI WACCM.Kila mechi kwenye ligi kuu yetu unaona mtu aliyevalia koti lake au shati lake la kitenge anaingia na timu uwanjani na kupiga picha na marefa na makapteni.
Huu utaratibu tumeoutoa wapi au sisi ndio wa kwanza maana huko duniani (ulaya) sijawahi ona na kazi yao ni ipi.View attachment 1373775View attachment 1373774View attachment 1373773View attachment 1373774View attachment 1373775
Shukrani mkuu. Uvaaji wao unanikumbusha mbali sana, kila ninapowaona ninakuwa kama natazama photo album yenye picha zilizopigwa miaka ya 1970s.
Nahisi hayo makoti yanakuwa uwanjani haijalishi linakutosha au vipi.Swali jingine; kwanini mara nyingi wanavaa mikoti oversize, magauni ya ajabu ajabu, na suruali pana mithili ya wanamuziki wa Empire Bakuba, Zaiko Langalanga au Lipua Lipua?
Duuuh!! hizi nchi zetu hizi. Hapo suala la afya ya wavaaji linazingatiwa kweli?Nahisi hayo makoti yanakuwa uwanjani haijalishi linakutosha au vipi.
Kwa mfano ukienda kupiga picha ya passport size au uhamiaji kwenye sehemu ya fingerprint unavalishwa koti OVERSIZE
Teh tehDuuuh!! hizi nchi zetu hizi. Hapo suala la afya ya wavaaji linazingatiwa kweli?
mkuu noting new in AFRICA , hata huo m hezo football tumechukua hukohuko. na hata sheria wenyewe ndio wanatubadilishia kila siku. kwahiyo hatuwezi kuwakwepa kuwa ma role model wetu.Ulaya Ulaya, kila kitu mbona Ulaya?! Tuseme na ushoga mnafanya kwa sababu Ulaya ruksa.
mkuu noting new in AFRICA , hata huo m hezo football tumechukua hukohuko. na hata sheria wenyewe ndio wanatubadilishia kila siku. kwahiyo hatuwezi kuwakwepa kuwa ma role model wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app