Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo.
Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake katika kumkoleza mwenzie.
Kama kwako haijakutokea, usikate tamaa; ongeza juhudi na maarifa ili mpenzi wako awe anavaa mavazi yako, huku akijimwambafai mtaani.
Utafiti nilishafanya; ila nilipoishia mimi, na wewe unaweza kuendeleza utafiti mwingine.
Wakuu, hakikisha mpenzi wako anavaa nguo zako!