Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sawa mkuuTafuta pesa mkuu,hutowaza petty issues kama hizo
Ikitokea mpenzi wako amevaa mavazi yako, utahisi nini?Kumkojoza mwwnamke sio kazi yako ni kazi yake mwenyewe kama ambavyo mke kukukojoza wewe sio kazi yake ni kazi yako mwenyewe.
Kama anaweza kuzaa mwenyewe na kuoushi mtoto basi nakuambia hawezi kushindwa kukojoa.
Nyie wadekezeni tu,hakuna mtu ambaye yuko hapa kumfurahisha mwingine,bali tuko hapa kuwatumia wengine kujifurahisha sisi.
Usijipe jukumu lisilokuhusu kaka.
Wanaonyesha ubondia fulani hivi, mara nyingi huwa ni watata😂😂😂 ila kuvaa zile flana za no 23 mgongoni siwapendi wanaozivaaga wanawake
Very sure mkuu....akili kubwa sana hii [emoji115]Kumkojoza mwwnamke sio kazi yako ni kazi yake mwenyewe kama ambavyo mke kukukojoza wewe sio kazi yake ni kazi yako mwenyewe.
Kama anaweza kuzaa mwenyewe na kuoushi mtoto basi nakuambia hawezi kushindwa kukojoa.
Nyie wadekezeni tu,hakuna mtu ambaye yuko hapa kumfurahisha mwingine,bali tuko hapa kuwatumia wengine kujifurahisha sisi.
Usijipe jukumu lisilokuhusu kaka.
Kwa nini ulikuwa unavaa?Tshirt za baby nimevaa Sana tu..tatizo boxer Sasa😂😂
Kwa hiyo mkuu unamaanisha wanaangalia uzuri wa nguo?kanunue minguo yako huko kwenye mtumba ile ya jero na buku jero uone kama atavaa.
Ipo siku ataivaa tu, ukimchanganya vizuriSio kweli.
Kuna sisi wenye miili mikubwaaa, af madem zetu n GB 1,... Hata umchakate vp, hawez vaa t shirt XXL yangu wakati size yake ni M.
Ko hizo n fikra zako tu....
Nilijuaga peke yangu sizipendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kuvaa zile flana za no 23 mgongoni siwapendi wanaozivaaga wanawake
Yaan avae t shirt inayofanana na kanzu kwake??? Hii haipo mkuu....Ipo siku ataivaa tu, ukimchanganya vizuri
Basi tu nilikua najisikia rahaKwa nini ulikuwa unavaa?
kikwetukwetu hawez kuvaa nguo ya mume wake atakua kanikosea heshma.Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo.
Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake katika kumkoleza mwenzie.
Kama kwako haijakutokea, usikate tamaa; ongeza juhudi na maarifa ili mpenzi wako awe anavaa mavazi yako, huku akijimwambafai mtaani.
Utafiti nilishafanya; ila nilipoishia mimi, na wewe unaweza kuendeleza utafiti mwingine.
Wakuu, hakikisha mpenzi wako anavaa nguo zako!
Kwa hiyo mkuu unamaanisha wanaangalia uzuri wa nguo?
ha ha ha ha, inabidi ifanyike kazi ya ziada ili ubongo wao ushindwe kutafsiri ukubwa wa vaziYaan avae t shirt inayofanana na kanzu kwake??? Hii haipo mkuu....
Sema hv.... Kwa wale wenye miili inayofanana