Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Nakubaliana na wewe.Unyenyekevu upo moyoni dogo. Hayo mengine ni mila na tamaduni tu za dini za wenye nazo
Mimi sio dogo Niko sawa umri na babako, unyenyekevu uko moyoni lakini Mungu alimsihi Musa avue viatu...use your senseUnyenyekevu upo moyoni dogo. Hayo mengine ni mila na tamaduni tu za dini za wenye nazo
HaswaMarafiki wa kudumu haooo
Hao wananukia pesa tu
Hapo tramp kaenda kuongea mipango tu,
Tramp hawez kuja nchi zenu za omba omba
Oba
Dogo huelewi kitu. Alipomwambia Mussa avue viatu je kila alipokuwa anatembea sasa akawa anatembea pekupeku? Unafiq umekujaa dogo hujui kitu. Ile sehemu ndo alipoambiwa avue viatu sababu ya uwepo ule maalum.Mimi sio dogo Niko sawa umri na babako, unyenyekevu uko moyoni lakini Mungu alimsihi Musa avue viatu...use your sense
Wanauliza au unajiuliza wewe usie jua mambo?Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.
Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.
View attachment 3334936
Sababu sio uwepo maalum sababu ni eneo takatifu...Dogo huelewi kitu. Alipomwambia Mussa avue viatu je kila alipokuwa anatembea sasa akawa anatembea pekupeku? Unafiq umekujaa dogo hujui kitu. Ile sehemu ndo alipoambiwa avue viatu sababu ya uwepo ule maalum.
Trump kaingia na viatu kamuueSababu sio uwepo maalum sababu ni eneo takatifu...
Hata magufuli aliingia na viatu na hata Mtume aliwahi kuswali na viatuTrump kaingia na viatu kamuue
Kama anaswali mwache asali, itafika siku ataacha hayo maovu...kuna watu hufikiwa na uponywaji wa Mungu polepole!Nakubaliana na wewe.
Unakuta mtu anatawaza kisha anavua viatu anazama msikitini kuswali baada ya hapo kesho yake unamkuta kwa mchepuko.
Kuto****na Ni Uovu??Nani Kakudanganya KakaKama anaswali mwache asali, itafika siku ataacha hayo maovu...kuna watu hufikiwa na uponywaji wa Mungu polepole!
Kuna mkristo asie tahiriwa?? Ushawahi sikia wa Israel hawatahiriwi?? Unajua adhabu kwa mtu asie tahiriwaMusio tahiriwa muko busy kuukashf Uislam, lakini hamtaweza.
Nawashaurini mukatoe magovi hayo, ndio murudi hapa tujadili.
ALIVUATrump atavuaje viatu wakati ni bosi na mshitiri wa wenye misikiti yote duniani? Waarabu wanaujua na kuutimiza Uislam wakiongozwa na Trump. Angekuwa kengeee toka kwetu, angevua hata suti na kuvishwa kanzu. Bravo chizi wangu Trump.
Naona hata Hijab hawana.
Kavaa soksiMbona naona kavaa soksi sio viatu,
Au ni macho yangu