Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kama hao walioandamana unawaita wahalifu, je hao waliopiga marufuku uchaguzi usifanyike katika nchi hii wenyewe unawapa jina gani.!?Wanakosea sana uhalifu uliofanywa na waandamaji haupaswi kuvikwa ushujaa!
Nasikitika haukutembelewa!Wanakosea sana uhalifu uliofanywa na waandamaji haupaswi kuvikwa ushujaa!
Uhalifu gani?Wanakosea sana uhalifu uliofanywa na waandamaji haupaswi kuvikwa ushujaa!
Eti kumtembelea mtu tu ndio anauita uhalifu. Atoe location tarehe 9 atembelewe.Nasikitika haukutembelewa!
Uhalifu ni kufanya maonyesho ya uchaguzi ni kutwaa madaraka bila kufanya uchaguzi wenyewe.Wanakosea sana uhalifu uliofanywa na waandamaji haupaswi kuvikwa ushujaa!
Hivi mfano wewe ungepigwa risasi iliyotoboa paa la nyumba yako ukapelekwa hospital ukaorodheshwa kwenye list ya walioandamana kwa sababu tu ulitolewa risasi iliyokupiga kwenye mfupa wa paja na risasi imekupiga ukiwa nyumbani kwako, hapo wewe ukiitwa gaidi au mhalifu unataka kusemaje?Wanakosea sana uhalifu uliofanywa na waandamaji haupaswi kuvikwa ushujaa!
Hii serikali imetibua kabisa utulivu wa Tanganyika.Itakuwa umeona video mbalimbali za sehemu mbalimbali watu wakienda kuzika wapendwa wao huku wanacheza na kuweka nyimbo za kishujaa. Hii ni tofauti sana tuliozoea misiba kuwa na vilio.
Je maumivu yamepitiliza hadi wanaona wawape ushujaa wapendwa wao?
View attachment 3499255
Ndio maana sijaona hata mbunge mmoja akipongeza ushindi wa Rais. Majuto na kuhisi hatia ni mengi sana.Kimsingi huo ni ujumbe wa moja kwa moja unaoelekezwa kwa serikali.
Ifahamike kuwa lengo la serikali lilikuwa ni kuongeza uwoga sambamba na kuupandikiza hofu
Hii hali ya watu kuwazika wapendwa wao kwa heshima sambamba na nyimbo zakishujaa ni pigo jingine kwa serikali.
Tuache kutiana moyo
Hali husika haiwapi amani watawala , na hata sasa wengi wao wapo kwenye majuto ya wazi kabisa hasa viongozi mmoja mmoja kuanzia madiwani hata wabunge maana wengi wanatokana na hizo jamii .
Usisahau kauli mbiu za wahanga ni moja tu KISASI NI LAZIMA.
wewe Mzanzibar pita kushoto ya Tanganyika hayakuhusu.Wanakosea sana uhalifu uliofanywa na waandamaji haupaswi kuvikwa ushujaa!
Unachanganya waliofanya uhalifu na waandamanaji. Si wote walifanya uhalifuWanakosea sana uhalifu uliofanywa na waandamaji haupaswi kuvikwa ushujaa!