Na unaweza kukutana mwarabu mweusi ni Yule aliyewapigia filimbi mbwa wake Jana waanze kukamata.Waeza Kuta DP World ni mwarabu mweusi wa huku kwetu!!
Ndugu zetu wenyewe wanatulazimisha twende utumwani!!
Jibu swali uliloulizwa wacha ujinga wa kusambaza chuki kama wanavyofanya kanisa lako.Mbona una chuki sana na Nyerere? Alikutenda nini kibaya kimekuacha na trauma?
Karamu hiyo kama Mtume wenu angekuwepo, angeifananisha na nyama ya nguruwe mana iliandaliwa kwa kificho. Mbaya zaidi ikaletwa kwa kuvizia dakika za nyongeza.Mmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Watu ndiyo kwanza wanaendelea na reforms za mashirika yote ya umma.
Unalijuwa hilo?
Hakuna Tanzania hii yeyote anaeruhusiwa kumiliki ardhi popote. Siyo bara siyo visiwani. Hakuna anaemiliki ardhi zaidi ya serikali, na mamlaka yote ya ardhi anayo Rais pekee.Kwanini Watanganyika ni marufuku kumiliki ardhi Zanzibar ila wazungu wanaruhusiwa?
Kanisa limeeleza ubovu wa mkataba. Ni wajibu wako wewe kueleza uzuri wa mkataba kifungu kwa kifunguJibu swali uliloulizwa wacha ujinga wa kusambaza chuki kama wanavyofanya kanisa lako.
Haya sasaSijawahi kiusikia ndoa ya mwanamme na mwanamme Afrika hii. Huu muungano ulikuwa baina ya watu wawili, nyerere na karume.
Nani mwengine alishauriwa? Unataka kusema posa alipelekewa karume, akaolewa?
Matusi hayo.
Ukitaka kugundua kuwa wabunge wa ccm haziwatshi , kipindi cha mwenda zake walisifia kweli kuwa huyu ndo rais hijwahi kutokea, amefariki wakarudi kwa mam tena ameirudisha nchi vizurHuwa najaribu kujiuliza, hawa wenzetu wameumbwaje? Sijawahi kupata jibu. Akili zao zinafanya kazi vipi, huwezi kuelewa.
Mkataba wa DP WORLD ni mbovu, na unatunyonga sisi wenyewe. Tunapiga kelele vifungu vibovu virekebishwe, lakini CCM wamekuwa wakitumia kodi zetu kuzunguka nchi nzima wakisema huo mkataba hauna ubaya wowote uko sawa tu.
Presha sasa imekuwa kubwa, mabaya ya mkataba wa DP WORLD yanawekwa bayana hadi vilabuni huko vijijini ndani ndani kabisa.
Naamini muda si mrefu, huenda mama akasalimu amri na kuachana na DP WORLD.
Mtashangaa hawahawa ambao wamezunguka nchi nzima wakiusifia mkataba wa DP WORLD kuwa ni mzuri na hauna kasoro, ndio hao hao watakaozunguka tena nchi nzima wakimsifia mama kwamba anaupiga mwingi, mkataba ulikuwa haufai.
Yangu macho, yajayo yanafurahisha
Ndo hao hao watakasema MAMA MSIKIVU..!!Huwa najaribu kujiuliza, hawa wenzetu wameumbwaje? Sijawahi kupata jibu. Akili zao zinafanya kazi vipi, huwezi kuelewa.
Mkataba wa DP WORLD ni mbovu, na unatunyonga sisi wenyewe. Tunapiga kelele vifungu vibovu virekebishwe, lakini CCM wamekuwa wakitumia kodi zetu kuzunguka nchi nzima wakisema huo mkataba hauna ubaya wowote uko sawa tu.
Presha sasa imekuwa kubwa, mabaya ya mkataba wa DP WORLD yanawekwa bayana hadi vilabuni huko vijijini ndani ndani kabisa.
Naamini muda si mrefu, huenda mama akasalimu amri na kuachana na DP WORLD.
Mtashangaa hawahawa ambao wamezunguka nchi nzima wakiusifia mkataba wa DP WORLD kuwa ni mzuri na hauna kasoro, ndio hao hao watakaozunguka tena nchi nzima wakimsifia mama kwamba anaupiga mwingi, mkataba ulikuwa haufai.
Yangu macho, yajayo yanafurahisha
Mapunguani hawaNdo hao hao watakasema MAMA MSIKIVU..!!
Adui hajawahi Toka mbali! Na m hawi vile vile!Na unaweza kukutana mwarabu mweusi ni Yule aliyewapigia filimbi mbwa wake Jana waanze kukamata.