Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa

Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa.

Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao wanasema kwenye siasa kuna figisu nyingi mara kuna kurogana sasa unalalamika nini kama mambo hayaendi kama unavyotaka.

Nimekua mstari wa mbele kujadili na wasomi mbalimbali juu ya mstakabari wa siasa za taifa letu lakini wengi wao wana mawazo hasi juu ya siasa.

Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe.

Gombea wewe, teuliwa wewe ongoza wewe, chukua fomu. Mambo yapo hivyo unavyo yaona kwasababu wewe unayejiona upo bora hutaki kugombea hutaki kushiriki siasa.

CHUKUA HATUA
 
Pointless
 
Back
Top Bottom