mchuziwapweza
Senior Member
- Aug 19, 2018
- 107
- 149
Leo naomba mnitoe ushamba kidogo, jamani hivi wanaposema uchumi wa kati hua wanamaanisha nini? Kwani kuna level ngapi za uchumi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BarikiwaTuanzie kipengele cha pili (kwani kuna level ngapi?)
Wachumi(Benkk ya dunia) imezigawanya chumi za nchi katika makundi matatu.
Nchi za kipato cha juu (nitaziita NKJ), Nchi za kipato cha kati(nitaziita NKK) na Nchi za kipato cha chini (nitaziita NKC). Vigezo mbalimbali vinatumika kuashiria chumi hizi; elimu, huduma za afya, vizazi na vifo. Kikubwa zaidi ni wastani wa kipato cha kila raia wa nchi husika kwa mwaka (GNI per capita). Hiki hupatikana kwa jumla ya mapato ya ndani ya nchi kwa mwaka gawanya kwa idadi ya wananchi wake.
NKJ
Nchi hizi huwa zina wastani wa kipato cha kila mwananchi cha dola za kimarekani 12,056 kwa mwaka. Hizi ni sawa na sh 28,000,000 (kwa dola 1=2284/=). Sasa na takribani sh 2,290,000 kwa mwezi. Kiasi hiki kwa huku kwetu ni mshahara wa mtu kama mkurugenzi wa halmashauri. Nchi zenye uchumi huu zipo takribani 80. Nchi nyingi za ulaya zipo kundi hili.
NKK
Nchi hizi zipo katika makundi mawili. Nchi za kipato cha kati juu (NKK-J) na Nchi za kipato cha kati chini (NKK-C)
NKK-J
Nchi hizi zina wastani wa pato la mwananchi la mwaka la $4,036(sawa na sh 9,000,000 ) hadi 12,056(sawa na sh 27,000,000) kwa mwaka. Au wastani wa juu ya sh 750,000 hadi 2,000,000 kwa mwezi. Nchi kama urusi, china , afrika kusini, brazil(BRICS), Jamaica, n.k zipo kundi hili
NKK-C
Hizi ni za uchumi wenye wastani wa kipato cha wananchi kwa mwaka cha dola 1,024 hadi 4,035. Takribani ya 2,000,000 hadi 9,000,000 sh . sawa na wastani wa kila raia kuingiza kiasi cha sh 190,000 hadi 750,000 kwa mwezi. Nchi kama kenya zipo daraja hili.
NKC
Hizi ndio masikinj zaidi. Zina pato la chini ya dola 1,024. Kwa fedha yetu ziko chini ya pato la wastani wa sh 190,000 kwa mwezi. Nchi nyingi za afrika ziko hapa, mali, tz, uganda, zimbabwe.
usipoacha huu ujinga utaishi maisha ya shida sana.Uchumi wa kati maana yake katikati ya mapaja
KumbeUchumi wa kati maana yake katikati ya mapaja
Uchumi wa kati maana yake katikati ya mapaja
NimekuelewaTuanzie kipengele cha pili (kwani kuna level ngapi?)
Wachumi(Benkk ya dunia) imezigawanya chumi za nchi katika makundi matatu.
Nchi za kipato cha juu (nitaziita NKJ), Nchi za kipato cha kati(nitaziita NKK) na Nchi za kipato cha chini (nitaziita NKC). Vigezo mbalimbali vinatumika kuashiria chumi hizi; elimu, huduma za afya, vizazi na vifo. Kikubwa zaidi ni wastani wa kipato cha kila raia wa nchi husika kwa mwaka (GNI per capita). Hiki hupatikana kwa jumla ya mapato ya ndani ya nchi kwa mwaka gawanya kwa idadi ya wananchi wake.
NKJ
Nchi hizi huwa zina wastani wa kipato cha kila mwananchi cha dola za kimarekani 12,056 kwa mwaka. Hizi ni sawa na sh 28,000,000 (kwa dola 1=2284/=). Sasa na takribani sh 2,290,000 kwa mwezi. Kiasi hiki kwa huku kwetu ni mshahara wa mtu kama mkurugenzi wa halmashauri. Nchi zenye uchumi huu zipo takribani 80. Nchi nyingi za ulaya zipo kundi hili.
NKK
Nchi hizi zipo katika makundi mawili. Nchi za kipato cha kati juu (NKK-J) na Nchi za kipato cha kati chini (NKK-C)
NKK-J
Nchi hizi zina wastani wa pato la mwananchi la mwaka la $4,036(sawa na sh 9,000,000 ) hadi 12,056(sawa na sh 27,000,000) kwa mwaka. Au wastani wa juu ya sh 750,000 hadi 2,000,000 kwa mwezi. Nchi kama urusi, china , afrika kusini, brazil(BRICS), Jamaica, n.k zipo kundi hili
NKK-C
Hizi ni za uchumi wenye wastani wa kipato cha wananchi kwa mwaka cha dola 1,024 hadi 4,035. Takribani ya 2,000,000 hadi 9,000,000 sh . sawa na wastani wa kila raia kuingiza kiasi cha sh 190,000 hadi 750,000 kwa mwezi. Nchi kama kenya zipo daraja hili.
NKC
Hizi ndio masikinj zaidi. Zina pato la chini ya dola 1,024. Kwa fedha yetu ziko chini ya pato la wastani wa sh 190,000 kwa mwezi. Nchi nyingi za afrika ziko hapa, mali, tz, uganda, zimbabwe.
What an idiot!!!Uchumi wa kati maana yake katikati ya mapaja
Well and clear explanation [emoji122][emoji122]Tuanzie kipengele cha pili (kwani kuna level ngapi?)