Wanaposema V8 Wanamaanisha nini?

Kwa ufahamu wng mdogo, V ni aina ya engine iliyoundwa mfano wa herufi"V" na 8 ni idadi ya cylinder zilizopo kwenye Engine hiyo.
wangeita Y ingekua poa sana, v gani chini ina kitako ambacho ndio engine block
 
Piston na cylinder zinaweza kuwa designed upiga pigo la mlipuko ama vertically au in V shape.Gari za Cylinder nne mpaka site ni rahisi kuzipanga cylinder katika mstali mmoja,sasa linapokuja swala la kuongeza cylinder ziwe nane maana yake space ya Engine itakuw kubwa kuzidi nafasi ya kawaida.Yaani nafasi ya Engine kukaa.

Ndipo wakaamua piston na cylinder zisiwe kwenye line moja,sasa titengeneze engine ambayo zitakuwa piston zinapiga in V shape na kufuatiwa na additional ya vitu vingine.
 
Hata horizontal pia, kuna gari cylinder zake zimekaa horizontally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…