Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Zipo Isuzu Giga, hasa hizi tipper za kubebea mchangaHakuna gari ya mzgo yenye V12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo Isuzu Giga, hasa hizi tipper za kubebea mchangaHakuna gari ya mzgo yenye V12
wangeita Y ingekua poa sana, v gani chini ina kitako ambacho ndio engine blockKwa ufahamu wng mdogo, V ni aina ya engine iliyoundwa mfano wa herufi"V" na 8 ni idadi ya cylinder zilizopo kwenye Engine hiyo.
V8 ni Mwanamke mwenye matako makubwaHabari,
jaman anayeuliza anataka kujua , huwa nasikia tuu V8 na sielew ina maana gani anayefahamu msaada tafadhari
Jamii forum ni raha sanakwa hyo VX ina X cylinder?
naomba unisaidie licha ya ufaham wako mdogo
Hata horizontal pia, kuna gari cylinder zake zimekaa horizontallyPiston na cylinder zinaweza kuwa designed upiga pigo la mlipuko ama vertically au in V shape.Gari za Cylinder nne mpaka site ni rahisi kuzipanga cylinder katika mstali mmoja,sasa linapokuja swala la kuongeza cylinder ziwe nane maana yake space ya Engine itakuw kubwa kuzidi nafasi ya kawaida.Yaani nafasi ya Engine kukaa.
Ndipo wakaamua piston na cylinder zisiwe kwenye line moja,sasa titengeneze engine ambayo zitakuwa piston zinapiga in V shape na kufuatiwa na additional ya vitu vingine.