Wanapotwanga kwa mbwembwe!

Wanapotwanga kwa mbwembwe!

CCM kwa kutwanga ni mwisho wa Matatizo.....

Ndiyo maana Dr. Slaa na Chedema hawakufurukuta Mtwara na Lindi.

Hata Bukoba kwa Wahaya, Chadema hawakufanya vizuri sana.

Kama unafikiri nawaonea CCM kwa kutwanga, hebu ona hii......

2.jpg

Sasa hapo mbona wanaotwanga ni wababa? mkuu umeielewa mada kweli?
 
Ili utwange vizuri na kwa raha sharti kinu kikuridhie ati
 
Kwa kweli ni hoja nzito sana; maana nadhani kuna utaalamu fulani unahusika. Watwangaji wanaojifunza utaona wanavyong'ang'ania mtwangio utadhani utawakimbia; lakini wataalam wanaweza hata kupiga soga huku wanatwanga....
 
Usisahau watwangaji wazuri hufunga khanga viunoni' Michi nayo hurushwa kwa mbwembwe ! Kuna raha fulani
 
Kwa kweli ni hoja nzito sana; maana nadhani kuna utaalamu fulani unahusika. Watwangaji wanaojifunza utaona wanavyong'ang'ania mtwangio utadhani utawakimbia; lakini wataalam wanaweza hata kupiga soga huku wanatwanga....
au wanatwanga huku wanasoma gazeti,au kuperuzi jf
hahahaa MM bana
 
Kwa kweli ni hoja nzito sana; maana nadhani kuna utaalamu fulani unahusika. Watwangaji wanaojifunza utaona wanavyong'ang'ania mtwangio utadhani utawakimbia; lakini wataalam wanaweza hata kupiga soga huku wanatwanga....

Mtwangaji lazima atoke jasho ati!
 
Mtwangio we twanga usichoke, twanga bila wasi wasi mtwangio wangu Kinu nimekuridhia weeeeeeeeeeee
 
JK akichoka siasa na kwenda kubembea Jamaika mnalalamika!
MKJJ akichoka siasa na kuanza mitwango, mnashabikia!
Nyie wana JF mna matatizi gani lakini?
 
naona kina kaka tu ndio wanachangia so far!

Si useme wewe huwa unatwanga vipi? Huwa unanyunyizia maji kidogo? Mona hata wanaume wa shoka wanapolima huwa wanaimba na kuzungusha jembe na kutoa miguno ya aina yake. Kwa kifupi ni kuifanya kazi iwe burudani na sio ahdhabu!!
 
Sijui wengine mnazungumzia vitu gani lakini miye nazungumzia kutwanga kutwanga naona wengine mmenda mbali kweli! .. hii fasihi
 
Hivi kwanini kina dada wengine wakati wanatwanga, wanatwanga kwa mbwembwe na kupiga makofi kabisa? WEngine wanaimba na nyimbo na miguno juu; haiwezekani kutwanga tu vikaisha? Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri.

Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.

Vipi kuhusu mitwangio, nayo ina ujuzi wake wa kuishika ukiwa unatwanga ati!!!!
 
travel-togo-village-life.uj_0340.jpg

Huyo shemeji kulia ana michi miwili........kweli ni mbwembwe...ila mugali wake huwa matamu sana kuliko haya maunga ya BAKHRESSA
 
Hivi kwanini kina dada wengine wakati wanatwanga, wanatwanga kwa mbwembwe na kupiga makofi kabisa? WEngine wanaimba na nyimbo na miguno juu; haiwezekani kutwanga tu vikaisha? Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri.

Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.

Ili kutwanga unahitaji kinu, mtwangio, nafaka na mtwangaji....sasa hapa mwanakijiji unazungumzia kipi kati ya hivyo....
BTW: Maji yanayoongezwa baada ya kutwanga ni kazi gani?
 
Sijui ila asante saana umenikumbusha mbaaalli sana, thanks at least umenirudisha miaaka ile ambapo hakukua na njaa wala kiu wala magonjwa!! thanks oorrr thanks
 
Back
Top Bottom