Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
CCM kwa kutwanga ni mwisho wa Matatizo.....
Ndiyo maana Dr. Slaa na Chedema hawakufurukuta Mtwara na Lindi.
Hata Bukoba kwa Wahaya, Chadema hawakufanya vizuri sana.
Kama unafikiri nawaonea CCM kwa kutwanga, hebu ona hii......
Unaona sasa Mwanakijiji???? Kibweka...UNA MAANA GANI KWA HILO??
au wanatwanga huku wanasoma gazeti,au kuperuzi jfKwa kweli ni hoja nzito sana; maana nadhani kuna utaalamu fulani unahusika. Watwangaji wanaojifunza utaona wanavyong'ang'ania mtwangio utadhani utawakimbia; lakini wataalam wanaweza hata kupiga soga huku wanatwanga....
Kwa kweli ni hoja nzito sana; maana nadhani kuna utaalamu fulani unahusika. Watwangaji wanaojifunza utaona wanavyong'ang'ania mtwangio utadhani utawakimbia; lakini wataalam wanaweza hata kupiga soga huku wanatwanga....
au wanatwanga huku wanasoma gazeti,au kuperuzi jf
hahahaa MM bana
naona kina kaka tu ndio wanachangia so far!
Hivi kwanini kina dada wengine wakati wanatwanga, wanatwanga kwa mbwembwe na kupiga makofi kabisa? WEngine wanaimba na nyimbo na miguno juu; haiwezekani kutwanga tu vikaisha? Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri.
Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.