mbombongafu
Member
- Nov 1, 2010
- 61
- 3
Kama ni nafaka kwenye kinu kikubwa basi huweka maji ili kukoboa na kuhakikisha nafaka inatoka vizuri.TAHADHARI..usizidishe maji maana nafaka badala ya kutoka unga, itatoka urojo na utapata hasara. .
@ MMkjj post 62
Una uhakika hili ni jukwaa sahihi? anyway wahusika mtajua.
Unaposema watu wanaweka maji mengi wakitwanga, inategemea unachakatua nini.Kama ni mahindi ya makande au unakoboa kahawa basi maji mengi ni lazima maana baada ya hapo unahitaji kuanika yakauke. Kama unatwanga upate unga..kamwe hutaweka maji mengi.
kama watwanga kisamvu inakuwaje?
Maji kwenye process yoyote ya chakula inategemea consistency unayoitaka.Kama watwanga Kisamvu inakuwaje?
halaf mjini sku hizi kumeingia blender, hawataki tena kinu na mchi. dah! ama kweli tanzania tunahitaji katiba mpya.
Maji kwenye process yoyote ya chakula inategemea consistency unayoitaka.