Wanaripoti Bloomberg Business : Tanzania Yaongeza Bajeti ya Miundombinu na Huduma za jamii Licha ya Kunyimwa Misaada

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii sanjali na ukuaji wa Uchumi wa asilimia 6.3% mwaka 2026/2027.
==============
Tanzania unveiled a 10% increase in the state budget despite a sharp decline in foreign development assistance, even as the government prioritizes infrastructure projects and improving social services.

View: https://www.threads.com/@bloombergbusiness/post/DZdBC7_lIkq?xmt=AQG0EMBVB-TsJvKqbo4asq2oJ2lCzdw1y32uqzDkGXmM9gUWckBtId0EblN1jNcU2FkqLBdn&slof=1

My Take
Mpaka hapo Beberu ameshajua kwamba Tanzania ni bwana mkubwa haitegemei tena bakuli na kuombaomba.

Hongera sana Serikali Sasa Heshima inakuja.
 
Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii sanjali na ukuaji wa Uchumi wa asilimia 6.3% mwaka 2026/2027.
==============
Tanzania unveiled a 10% increase in the state budget despite a sharp decline in foreign development assistance, even as the government prioritizes infrastructure projects and improving social services.

My Take
Mpaka hapo Beberu ameshajua kwamba Tanzania ni bwana mkubwa haitegemei tena bakuli na kuombaomba.

Hongera sana Serikali Sasa Heshima inakuja.
Makadirio ni namba tu.

Mwisho wa mwaka ulete hapa, UHALISIA kwenye hizo Trilioni 62 mmefanikiwa kupata kiasi gani.
 
Back
Top Bottom