Wanasaikolojia-Je kuna dawa inayotibu moja kwa moja schizophrenia bila hilo tatizo kujirudia?

Cataliyya

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
781
Reaction score
371
Habari wana jamii forum, kwa experience yangu kuna dawa nyingi zinazotibu schizophrenia, ila ukiacha kunywa hizo dawa tatizo linajirudia. je kuna dawa inayotibu hili tatizo moja kwa moja? kama ipo inaitwaje?
 
Schizoprenia ni ugonjwa wa akili ambao mtu huona mazingira yamebadilika, na huanza kuhisi/kusikia au kuona vitu ambavyo havipo. kwa maelezo zaidi unaweza kusearch google
Unamaanisha kuchanganyikiwa?
 
Schizoprenia ni ugonjwa wa akili ambao mtu huona mazingira yamebadilika, na huanza kuhisi/kusikia au kuona vitu ambavyo havipo. kwa maelezo zaidi unaweza kusearch google
Ok.tatizo linasabishwa na nini??au inataka kufanana na panic attack??
 
Hujawahi sikia huo ugonjwa au dawa?

Huku nilipo huwa wanatumia Dawa inaitwa Clozapine.

Clozapine hu stabilise mood na kupunguza kuona madubwasha.

Clozapine ina side effects nyingi kwa huyo mgonjwa hutakiwa kuchekiwa damu kila baada ya wiki 4. Ili kuangalia Level za dyscrasias.

Nilifanya kazi kwenye ward zaidi ya 3 years, sikuwai kuona mgonjwa katolewa kwenye hiyo dawa, ila tulikuwa tunawafanya wa na ji self medicate wakiruhusiwa kurudi nyumbani, Na kumonitor damu zao every 4 weeks.
 
Dawa ni kuacha kujiita majina ya ajabu ajabu na vyeo ambavyo havipo, mara jiwe Mara Mkuu sijui wa nini, nakuona kila kitu kiko okay. Ndio ugonjwa wenyewe huo unaosemwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umerogwa wewewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…