Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha kuchanganyikiwa?Schizoprenia ni ugonjwa wa akili ambao mtu huona mazingira yamebadilika, na huanza kuhisi/kusikia au kuona vitu ambavyo havipo. kwa maelezo zaidi unaweza kusearch google
DawaHujawahi sikia huo ugonjwa au dawa?
Ok.tatizo linasabishwa na nini??au inataka kufanana na panic attack??Schizoprenia ni ugonjwa wa akili ambao mtu huona mazingira yamebadilika, na huanza kuhisi/kusikia au kuona vitu ambavyo havipo. kwa maelezo zaidi unaweza kusearch google
Hujawahi sikia huo ugonjwa au dawa?
Dawa ni kuacha kujiita majina ya ajabu ajabu na vyeo ambavyo havipo, mara jiwe Mara Mkuu sijui wa nini, nakuona kila kitu kiko okay. Ndio ugonjwa wenyewe huo unaosemwa.Dawa
Mwenyekiti wa nyumbu wa kijani mbona hujamtaja wakati nayeye anao...tena ye ndo yupo kwenye hali mbaya zaidiHuu ugonjwa anao pia Yericko Nyerere alizaliwa Nao Halima Mdee alienda juzi S.Africa sijui kama alipata tiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umerogwa weweweDawa ni kuacha kujiita majina ya ajabu ajabu na vyeo ambavyo havipo, mara jiwe Mara Mkuu sijui wa nini, nakuona kila kitu kiko okay. Ndio ugonjwa wenyewe huo unaosemwa.